Fid Q Photo

Fid Q Fan Club

Mwanza, Mwanza, Tanzania

Total Fans: 120,274 | Contents: 592

Facebook 97.7%

117,508

Spotify: 0.12%

146

Deezer 2.17%

2,620
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q Cheki hapa jinsi OPEN MIC ya 10 ilivyofana
Cheki hapa jinsi OPEN MIC ya 10 ilivyofana
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q Open Mic Thursday #TheTenth 

Ambwene Allen Yessayah  ZE City, Manimendra Cortez Mex Webiro 'Wakazi' Wassira P THE MC, MBISHI , MAU & many more
Open Mic Thursday #TheTenth Ambwene Allen Yessayah ZE City, Manimendra Cortez Mex Webiro 'Wakazi' Wassira P THE MC, MBISHI , MAU & many more
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q Karibuni sana...
Karibuni sana...
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q Siku ile MWANZA kwenye uzinduzi wa kibao cha   BIZNEA na SHAA kiitwacho " MALI YA MUNGU "
Siku ile MWANZA kwenye uzinduzi wa kibao cha BIZNEA na SHAA kiitwacho " MALI YA MUNGU "
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q Hizi ni picha za OPEN MIC THURSDAY ya TISA.. ya KUMI itafanyika kesho pale pale THE PALLET••• nyote mnakaribishwa
Hizi ni picha za OPEN MIC THURSDAY ya TISA.. ya KUMI itafanyika kesho pale pale THE PALLET••• nyote mnakaribishwa
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q Kesho tutakua na OPEN MIC THURSDAY ya KUMI... hii hapa ni ya TISA!! Enjoy 🙏🏿
Kesho tutakua na OPEN MIC THURSDAY ya KUMI... hii hapa ni ya TISA!! Enjoy 🙏🏿
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q Backstage moments•• 🎤🔥
Backstage moments•• 🎤🔥
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q I want my ART to be my LEGACY..!!
I want my ART to be my LEGACY..!!
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q Niko na Jimmy pamoja na Zaiid.. MC mwenye AFYA ya MISTARI..!!
Niko na Jimmy pamoja na Zaiid.. MC mwenye AFYA ya MISTARI..!!
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q MWANZA... asanteni kwa ile LOVE!! Mbarikiwe zaidi na zaidi 🙏🏿
MWANZA... asanteni kwa ile LOVE!! Mbarikiwe zaidi na zaidi 🙏🏿
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q Ilikua hivi siku ile... je leo itakuwaje..!!? 

Tukutane NEXT DOOR leo jioni 🙏🏿
Ilikua hivi siku ile... je leo itakuwaje..!!? Tukutane NEXT DOOR leo jioni 🙏🏿
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q DSM: Hii itakua na zile " NGOSHA EXCLUSIVES " nyingi sana.. pia usisahau nitaifanya na LIVE BAND 💪🏾
DSM: Hii itakua na zile " NGOSHA EXCLUSIVES " nyingi sana.. pia usisahau nitaifanya na LIVE BAND 💪🏾
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q Jana mazoezini na BAND.. tulipata wazo la kufanya hii DUA tukiwa backstage kabla ya kuingia stejini hiyo jpili ya kesho kutwa kwenye show yangu ya pale NEXT DOOR... mnadhani hii iko deep au nizame kidogo!?
Jana mazoezini na BAND.. tulipata wazo la kufanya hii DUA tukiwa backstage kabla ya kuingia stejini hiyo jpili ya kesho kutwa kwenye show yangu ya pale NEXT DOOR... mnadhani hii iko deep au nizame kidogo!?
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q RAP CITY MWANZA... ijumaa hii pale ROCK BOTTOM
RAP CITY MWANZA... ijumaa hii pale ROCK BOTTOM
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q Na kwa wale waliokua wamemis zile show zangu CLASSIC kabisa, JPILI hii nitakua natumbuiza LIVE na BAND yangu pale CLUB NEXT DOOR kwenye EXTREME SUNDAY!! Njoo ujionee MAUJANJA mapya
Na kwa wale waliokua wamemis zile show zangu CLASSIC kabisa, JPILI hii nitakua natumbuiza LIVE na BAND yangu pale CLUB NEXT DOOR kwenye EXTREME SUNDAY!! Njoo ujionee MAUJANJA mapya