Fid Q Picture

Fid Q HAPPY ' MAPINDUZI DAY' FAM... 🙏🏿

Fid Q HAPPY ' MAPINDUZI DAY' FAM... 🙏🏿
12/01/2017 - 08:23
HAPPY ' MAPINDUZI DAY' FAM... 🙏🏿
Official contents of Fid Q
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q Hii imejaa VYUMA tupu kwasababu ni MOJA ya NYONGEZA a k a ya MWISHO kwa SEASON hii Na baada ya hii TUTAENDA LIKIZO ya takribani MWEZI MMOJA na NUSU.. #NjooniTulilazeDude
Hii imejaa VYUMA tupu kwasababu ni MOJA ya NYONGEZA a k a ya MWISHO kwa SEASON hii Na baada ya hii TUTAENDA LIKIZO ya takribani MWEZI MMOJA na NUSU.. #NjooniTulilazeDude
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q Cheki hapa jinsi OPEN MIC ya 10 ilivyofana
Cheki hapa jinsi OPEN MIC ya 10 ilivyofana
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q Open Mic Thursday #TheTenth 

Ambwene Allen Yessayah  ZE City, Manimendra Cortez Mex Webiro 'Wakazi' Wassira P THE MC, MBISHI , MAU & many more
Open Mic Thursday #TheTenth Ambwene Allen Yessayah ZE City, Manimendra Cortez Mex Webiro 'Wakazi' Wassira P THE MC, MBISHI , MAU & many more
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q Karibuni sana...
Karibuni sana...
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q Siku ile MWANZA kwenye uzinduzi wa kibao cha   BIZNEA na SHAA kiitwacho " MALI YA MUNGU "
Siku ile MWANZA kwenye uzinduzi wa kibao cha BIZNEA na SHAA kiitwacho " MALI YA MUNGU "
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q Hizi ni picha za OPEN MIC THURSDAY ya TISA.. ya KUMI itafanyika kesho pale pale THE PALLET••• nyote mnakaribishwa
Hizi ni picha za OPEN MIC THURSDAY ya TISA.. ya KUMI itafanyika kesho pale pale THE PALLET••• nyote mnakaribishwa
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q Kesho tutakua na OPEN MIC THURSDAY ya KUMI... hii hapa ni ya TISA!! Enjoy 🙏🏿
Kesho tutakua na OPEN MIC THURSDAY ya KUMI... hii hapa ni ya TISA!! Enjoy 🙏🏿
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q Backstage moments•• 🎤🔥
Backstage moments•• 🎤🔥
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q I want my ART to be my LEGACY..!!
I want my ART to be my LEGACY..!!
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q Niko na Jimmy pamoja na Zaiid.. MC mwenye AFYA ya MISTARI..!!
Niko na Jimmy pamoja na Zaiid.. MC mwenye AFYA ya MISTARI..!!
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q MWANZA... asanteni kwa ile LOVE!! Mbarikiwe zaidi na zaidi 🙏🏿
MWANZA... asanteni kwa ile LOVE!! Mbarikiwe zaidi na zaidi 🙏🏿
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q Ilikua hivi siku ile... je leo itakuwaje..!!? 

Tukutane NEXT DOOR leo jioni 🙏🏿
Ilikua hivi siku ile... je leo itakuwaje..!!? Tukutane NEXT DOOR leo jioni 🙏🏿
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q DSM: Hii itakua na zile " NGOSHA EXCLUSIVES " nyingi sana.. pia usisahau nitaifanya na LIVE BAND 💪🏾
DSM: Hii itakua na zile " NGOSHA EXCLUSIVES " nyingi sana.. pia usisahau nitaifanya na LIVE BAND 💪🏾
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q Jana mazoezini na BAND.. tulipata wazo la kufanya hii DUA tukiwa backstage kabla ya kuingia stejini hiyo jpili ya kesho kutwa kwenye show yangu ya pale NEXT DOOR... mnadhani hii iko deep au nizame kidogo!?
Jana mazoezini na BAND.. tulipata wazo la kufanya hii DUA tukiwa backstage kabla ya kuingia stejini hiyo jpili ya kesho kutwa kwenye show yangu ya pale NEXT DOOR... mnadhani hii iko deep au nizame kidogo!?
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q RAP CITY MWANZA... ijumaa hii pale ROCK BOTTOM
RAP CITY MWANZA... ijumaa hii pale ROCK BOTTOM
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q Na kwa wale waliokua wamemis zile show zangu CLASSIC kabisa, JPILI hii nitakua natumbuiza LIVE na BAND yangu pale CLUB NEXT DOOR kwenye EXTREME SUNDAY!! Njoo ujionee MAUJANJA mapya
Na kwa wale waliokua wamemis zile show zangu CLASSIC kabisa, JPILI hii nitakua natumbuiza LIVE na BAND yangu pale CLUB NEXT DOOR kwenye EXTREME SUNDAY!! Njoo ujionee MAUJANJA mapya
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q Hii ni ya 9.. kama upo DAR, jitahidi uhudhurie ili upate kufurahia na kujifunza mengi kabla haijafika ya 10.. 

MWANZA tunakutana IJUMAA pale ROCK BOTTOM na mwanangu BIZNEA
Hii ni ya 9.. kama upo DAR, jitahidi uhudhurie ili upate kufurahia na kujifunza mengi kabla haijafika ya 10.. MWANZA tunakutana IJUMAA pale ROCK BOTTOM na mwanangu BIZNEA
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q DSM: Freedom of the PRESS is limited to those who own one.. tmrw it is••Let's get it going!! 💪🏾
DSM: Freedom of the PRESS is limited to those who own one.. tmrw it is••Let's get it going!! 💪🏾
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q Kuna mtu aliniuliza ALHAMISI iliyopita.. je hii ni kwa ajili ya wasanii/wanamuziki wa kurap na kuimba tu!!? Nikamwambia " HAPANA.. HII NI KWA YEYOTE MWENYE UWEZO WA KUFANYA CHOCHOTE NYUMA YA MIC " 
Tukutane kesho pale THE PALLET MBEZI BEACH.. itakua KUBWA zaidi!! Best believe that•• #openmicthursday
Kuna mtu aliniuliza ALHAMISI iliyopita.. je hii ni kwa ajili ya wasanii/wanamuziki wa kurap na kuimba tu!!? Nikamwambia " HAPANA.. HII NI KWA YEYOTE MWENYE UWEZO WA KUFANYA CHOCHOTE NYUMA YA MIC " Tukutane kesho pale THE PALLET MBEZI BEACH.. itakua KUBWA zaidi!! Best believe that•• #openmicthursday
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q DSM.. Tunayo furaha ya kuwakaribisha kwenye ' OPEN MIC THURSDAY ' ya nne tangu kuanza kwake.. na safari hii  tutakua na producer ambaye atakua anakata midundo live pale na wasanii kadhaa watakua wanaidandia.. Je wewe unaweza kufanya chochote ( sio lazima uimbe au urap) nyuma ya *KINASA SAUTI* !?  Acha kujificha.. jitokeze pale THE PALLET kesho ili tujumuike sote
DSM.. Tunayo furaha ya kuwakaribisha kwenye ' OPEN MIC THURSDAY ' ya nne tangu kuanza kwake.. na safari hii tutakua na producer ambaye atakua anakata midundo live pale na wasanii kadhaa watakua wanaidandia.. Je wewe unaweza kufanya chochote ( sio lazima uimbe au urap) nyuma ya *KINASA SAUTI* !? Acha kujificha.. jitokeze pale THE PALLET kesho ili tujumuike sote
Foto profilo Fid Q

Fid Q

Fid Q Amini usiamini... FID Q ndio SAUTI YA MTAANI/ je mtafurahi nikishuka chini kama MADEMU WA MARUBANI..!!?
Amini usiamini... FID Q ndio SAUTI YA MTAANI/ je mtafurahi nikishuka chini kama MADEMU WA MARUBANI..!!?